Je, Tunaziishi Tunu za Taifa au Tunazitaja Tu?

Utangulizi

Tunu za taifa zimekuwa sehemu ya mazungumzo yetu ya kila siku kwenye shule, majukwaa ya viongozi, na hata katika mijadala ya kijamii. Tunazisikia, tunazitaja, na wakati mwingine tunazisifia. Lakini swali la msingi l…

Soma zaidi

Tunu za Taifa: Nguzo ya Maendeleo ya Kweli

Utangulizi

Katika nyakati za sasa, tunu za taifa zimekuwa zikizungumzwa mara kwa mara, lakini mara nyingi hubaki kuwa maneno yanayosikika kwenye hotuba, nyaraka au kauli mbiu. Wengi huzisikia, wachache huzielewa, na wachache z…

Soma zaidi

Mipaka ya Kimaadili: Namna Kumlinda Mgonjwa Bila Kujiumiza Mwenyewe

Utangulizi

Katika jamii zetu, huruma mara nyingi huonekana kama kipimo cha utu wa mtu. Kadri mtu anavyojitolea zaidi kwa mgonjwa, ndivyo anavyoonekana kuwa mwema na mwenye moyo wa kipekee. Tunawapongeza wale wanaokesha hospita…

Soma zaidi

Kujipenda: Maadili au Ubinafsi?

Utangulizi

Katika jamii nyingi, kujipenda bado ni neno linalotafsiriwa vibaya. Mtu anapojitunza, kujiheshimu au kujitanguliza katika baadhi ya maamuzi, huonekana kana kwamba anawapuuza wengine. Kwa muda mrefu, tumejifunza kuwa…

Soma zaidi

Haki za Wanyama:  Kipimo kilichosahaulika cha maadili ya jamii

Katika jamii nyingi za Tanzania, mfano wa jamii karibu zote Frika, haki za wanyama ni mjadala usiopewa uzito. Wengi hufumbia macho, si kwa sababu ni waovu, bali kwa sababu hawajawahi kufundishwa kuunganisha mateso ya wanyama na t…

Soma zaidi

Taka Zangu, Tatizo la Nani? Swali Linaloamsha Dhamiri ya Jamii

Kila siku tunazalisha taka. Baadhi ni chache, nyingine ni nyingi. Tunapomaliza kutumia vitu kama vifungashio vya bidhaa, mara nyingi swali hili halitupi hujirudia kichani: nitaweka wapi hii taka? Badala yake, swali halisi linalop…

Soma zaidi

Maadili ya Kusema Hapana Bila Kujihisi Mwenye Hatia

Utangulizi

Katika jamii zetu, kusema “ndiyo” mara nyingi huonekana kuwa ishara ya heshima, upendo na utu. Kusema “hapana”, kwa upande mwingine, huambatana na hofu ya kuonekana mkorofi, mchoyo au asiyeja…

Soma zaidi