Programu ya Utamaduni Imara inalenga kuchunguza na kuimarisha mchango wa utamaduni na mifumo ya imani katika kukuza maadili ya jamii. Programu inalenga kuchuja vipengele vya kitamaduni vinavyoimarisha utu na kurekebisha vile vinavyokandamiza au kupotosha maadili. Inatambua na kuimarisha nafasi ya wazee, viongozi wa asili na elimu ya jadi katika malezi ya maadili, huku ikiunganisha hekima ya jadi na uhalisia wa maisha ya kisasa. Pia ni lengo la programu hii kutafiti na kutambua mchango wa utamaduni katika mavazi, lugha na ndoa zenye maadili.
Makundi yanayolengwa:
Lengo: